TANZIA: Aliyekuwa Spika mstaafu wa Bunge na Waziri Mwandamizi Mhe.
Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko Ujerumani akiwa
katika matibabu... Poleni ndugu , jamaa na marafiki wote na Mungu ailaze
Roho ya Marehemu mahala pema peponi Amina.
Post a Comment