Rais Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza kwa kazi nzuri Katibu Mkuu wa
Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi baada ya
kukagua pembe za ndovu 50 zilizokamatwa katika operesheni maalum ya
kusaka majangili alipofanya ziara ya kushtukiza makao makuu ya Wizara ya
Maliasili na Utalii (MPINGO HOUSE) jijini Dar es salaam Oktoba 29,
2016.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment