Moto wateketeza Soko la Mandera Sumbawanga 0 Kitaifa 01:02:00 A+ A- Print Email Soko la Mandera mjini Sumbawanga linateketea kwa Moto usiku huu, hata hivyo kwa mijibu wa taarifa za awali tulizozipata zinasema chanzo cha Moto huo haujafahamika mara moja mpaka sasa. Picha za Soko hili likiwa linateketea kwa Moto usiku huu.
Post a Comment