
Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akiwapungia Mkono wananchi mara baada ya kuvishwa taji la Miss Tanzania 2016 usiku wa kuamkia leo.

Tano bora


Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia James Wambura akimkabidhi ufunguo Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward mara baada ya kuibuka Mshindi wa Miss Tanzania 2016.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.