Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameitaka Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU),
kuhakikisha programu za masomo zinazoanzishwa na vyuo vikuu nchini
zinazingatia mahitaji ya Taifa na soko la ajira.
Majiwali ametoa agizo hilo leo (Jumanne) wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 55 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).
Amesema hivi sasa kuna baadhi ya vyuo nchini ambavyo vinatoa programu
ambazo haziendani na mahitaji halisi ya Taifa pamoja na soko la ajira.
"Napenda kusisitiza TCU inahakikisha programu hizo zinazingatia mahitaji yetu hapa
Post a Comment