Ushauri wangu kwako ni kuwa, ulichoshindwa kufanya wiki iliyopita
chenye matokeo makubwa kwenye maisha yako nakusihi amua kukifanya tena
wiki hii. Amini katika kushindwa kule ni sehemu ya shule iliyokuwa
ikukutengeneza kwa ajili ya ushindi wako wa wiki hii.
Post a Comment