Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications
Ltd (MCL), Francis Nanai ameteuliwa kuwa mmoja wa wajumbe wa Bodi ya
Wakurugenzi wa CEO Roundtable.
Mbali na Nanai pia Bodi hiyo imemteua Ineke Bussemaker kutoka benki ya NMB kuwa mmoja wa wajumbe wa bodi hiyo.
Nanai na Bussemaker wanachukua nafasi zilizoachwa wazi na Nicola Colangelo na Balozi Ami Mpungwe ambao waliomba kuondoka katika nafasi hizo.

Post a Comment