ZIARA ya kimataifa aliyoifanya Maalim Seif Shariff Hamad, Katibu Mkuu
wa Chama cha Wananchi (CUF) Marekani, Ulaya, Canada na Umoja wa Mataifa
kulalamikia uvurugaji wa uchaguzi mkuu wa 25 Oktoba mwaka jana, imeanza
kuzaa matunda kwa upande wa CUF
Tayari taasisi ya kimataifa ya umoja wa wanaliberali – Liberal International (LI) – imeliandikia Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC) kutaka kutolewa kwa vikwazo dhidi ya Serikali ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.-
AU
BONYEZA LINK HII => http://www.liberal-international.org/site/file/Human%20Rights/LI_Written_Statement_to_33rd_UNHRC_As_Published.pdf
Post a Comment