0

1.Mtu mwenye meno kama Vampire
Kuna watu aina tofauti tofauti duniani, sipati picha ukikutana mmoja kati ya watu hawa barabarani tena usiku,hii ni orodha ya watu wanaotisha

2.Macho kama ya Mnyama
Picha hii inamuonesha mtu huyu akiwa na meno machache na pua ndogo mno.Hila meno yake yapo kama Vampire

3.Kichwa kikubwa
Mwanamama huyu macho yake yapo kama mnyama.Aa uso na mdomo mkubwa

4.Uso wake upo flat
Mtu huyu ni mmoja kati ya watu wanaotisha,ana kichwa kikubwa na mdomo wake haupo kwenye uwiano mzuri

5.Mdomo Mkubwa
Ana uso flat.Pua,Mdomo na lips zake karibia zipo sehemu moja

Huyu jamaa anatisha,karibia kila kitu katika uso wake ni kikubwa,kuanzia uso,macho,mdomo,meno hadi ulimi

Post a Comment

 
Top