ROBO FAINALI LIGI YA ALIZETI CUP KUANZA KUTIMUA VUMBI LEO 0 Michezo 14:25:00 A+ A- Print Email Pazia la Ligi ya Alizeti cup hatua ya robo fainali kuanza kutimua vumbi rasmi leo agosti 30 kwa mchezo mmoja kati ya timu ya Hawili fc dhidi ya Kibutuka fc mchezo utakaopigwa uwanja wa wilaya ya Liwale mkoani Lindi majira ya saa 10 jioni.
Post a Comment