KARIBU NANE NANE LIWALE 2016 MKOANI LINDI utajionea shughuli mbalimbali zikiwemo za Kilimo,mifugo na uvuvi ambayo ni nguzo za maendeleo,vijana shiriki kikamilifu,karibu tembelea banda la maonesho la wilaya ya Liwale viwanja vya Ngongo mkoani Lindi ili uweze kujifunza mambo mbalimbali katika maonesho ya Nane
nane.
Jokofu la asili kwa ajili ya kuhifadhia mbogamboga na matunda karibu tembelea banda la maonesho la wilaya ya Liwale viwanja vya Ngongo mkoani Lindi ili uweze kujifunza mambo mbalimbali katika maonesho ya Nane
nane.
Post a Comment