Akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu amesema…
"Jeshi la polisi halikuzuia mikutano ya
ndani ya siasa kwasababu tulikuwa tunaamini ni mikutano iliyokuwa
ikizungumzia maendeleo ya wananchi"
"Lakini sasa tumebaini kwamba mikutano hiyo imekuwa ikitumika kucchochea wananchi na kuwahamasisha kuvunja sheria za nchi na kufanya mapambano na jeshi la polisi" ,IGP Ernest Mangu.
"Lakini sasa tumebaini kwamba mikutano hiyo imekuwa ikitumika kucchochea wananchi na kuwahamasisha kuvunja sheria za nchi na kufanya mapambano na jeshi la polisi" ,IGP Ernest Mangu.
"Kwasababu hiyo basi kwa hali ya kutumia mikutano ya ndani kuchochea watu kuvunja sheria na kupambana na askari, hivyo basi kuanzia sasa jeshi la polisi nchini linapiga marufuku mikutano yote ya ndani‘ –IGP Ernest Mangu
Post a Comment