Aliyekuwa Mgombea Ubunge jimbo la Masasi kwa tiketi ya Chama Cha
Wananchi (CUF) na Msanii wa Vichekesho Ismail Makombe maarufu Baba
Kundambanda amefariki dunia Asubuhi ya leo .
Taarifa za kuaminika kutoka
kwa ndugu wa karibu wa marehemu kwa sasa msiba upo nyumbani kwake masasi
mtaa wa Nangaya na na tarabu za mazishi itakuwa kesho majira ya saa 10:00 jioni
Enzi ya uhai wake
Enzi ya uhai wake
Post a Comment