Ndege inayotumia
nguvu ya miale ya jua imeondoka mjini Cairo nchini Misri kwenda Abu Dhai
katika awamu yake ya mwisho ya safari ya kuizunguka dunia.
Ndege hiyo inayofahamika kama Solar Impulse 2, ilianza safari yake mjini Abu Dhabi mwezi Machi mwaka 2015.Amesema kuwa teknolojia mpya anayoifanyia majaribio inaweza kusaidia kupunguza kwa nusu mafuta inayotumiwa kila siku.
Post a Comment