Mtoto wa miaka 10
kutoka Indonesia, ambaye ametajwa kuwa mtoto aliyenenepa zaidi duniani
ameanza kupewa chakula cha kupunguza uzani kwa kuwa wazazi wake
wanahofia afya yake.
Arya Permana ana uzani wa kilo 188 na ameorodheshwa kuwa na unene usio wa kawaida.BBC ilizungumza na mamaake Rokayah huko Karawang Indonesia ambaye ana wasiwasi sana kuhusu afya ya mwanawe.
Post a Comment