Julya 1 2016 taarifa za mkuu wa idara ya
habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga Jerry Muro kuitwa na kamati ya
maadili kujieleza kutokana na kauli zake, iliingia kwenye headlines
kabla ya leo July 2 kuitikia wito.
Jerry muro ambaye awali alikuwa
anaituhumu TFF imepanga njama za kutaka kumfungia miaka mitatu
kutojihusisha na soka, aliitwa leo na kamati ya maadili na badala yake
kamati imeamua kumfutia mashitaka hayo kutoka na barua yake ya kuitwa na
TFF ilikuwa na makosa mengi.
Post a Comment