0



Habari tulizozipata hivi punde zinasema kuwa Treni imegongana na gari la UDA eneo la Gerezani - Kariakoo jijini Dar es salaam.Taarifa za awali zinasema kuwa ajali hiyo imesababisha kifo cha Watu 6 na kujeruhi watu zaidi ya 40.

 BOFYA>> HAPA  KUANGALIA PICHA ZAIDI


 
Mpaka sasa watu sita wamepoteza maisha hapo hapo akiwemo konda wa kampuni ya Uda dereva kakimbia Mungu awalaze mahali pema wote waliopoteza maisha..
BOFYA>> HAPA  KUANGALIA PICHA ZAIDI


Post a Comment

 
Top