0




 

1. Mchezaji Bora:
Juma Abdul - YANGA

2. Golikipa Bora:
Aishi Manula - Azam FC

3. Kocha Bora:
Hans Van Pluijm - YANGA

4. Mchezaji Bora Chipukizi:
Mohammed Hussein -Simba

5. Mchezaji Bora wa Kigeni:
Thabani Kamusoko - YANGA

6. Mfungaji Bora:
Amiss Tambwe - YANGA

7. Goli bora la Msimu lilifungwa na Ibrahim Ajib

8. Timu yenye nidhamu:
Mtibwa Sugar

9. Mwamuzi Bora:
Ngole Mwangole - MBEYA

10. Zawadi za Washindi
i) Mabingwa - YANGA
ii) Washindi 2 - AZAM
iii) Washindi 3 - SIMBA
iv) Washindi 4 - TZ PRISONS

Post a Comment

 
Top