Wabunge wa Kambi Rasmi ya Upinzani leo
asubuhi wameingia bungeni wakiwa wote wamevalia nguo nyeusi
walipohudhuria kikao cha 54 cha Bunge la Bajeti mjini Dodoma.
Baada
ya Naibu Spika Dk Tulia Ackson kuingia bungeni na kuongoza dua ya
kuliombea Bunge, walianza kunyanyua mabango mbalimbali na kutoka nje.
Msanii mkongwe wa BongoFleva nchini Afande sele atangaza rasmi kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) mwezi huu march mbele ya Rais Dkt. Maguf...Read more »
Mfanyabiashara maarufu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Moise Katumbi ambaye sasa amejitosa kwenye ulingo wa siasa, anazindua chama chake a...Read more »
Image captionNkurunzinza amekuwa rais wa Burundi tokea mwaka 2005
Chama tawala nchini Burundi CNDD/FDD kimemtangaza Rais Pierre Nkurunzinza kama kion...Read more »
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro baada ya Tume ya Uchaguzi (Nec), ...Read more »
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionTrump ana handaki ndani ya nyumba yake ya Mar-a-Lago estate - lakini halina uhusiano wowote na yeye kuwa...Read more »
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wasikubali kuchonganishwa na kwamba Serikali haiongozwi kwa misingi ya kidini bali imeziachia ta...Read more »
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.