Timu ya Iceland imeoiondoa England kwa mabao 2-1 katika michuano ya mpira ya Euro 2016 inayoendelea nchini Ufaransa.
Kipigo
hiko kimepelekea kujiuzulu kwa kocha wa timu hiyo Roy Hodgson,ambaye
ameelezea hayo mara tu bada ya kumalizika kwa mchezo huo katika mkutano
na waandishi wa habari akiwa ameiongoza kwa miaka minne.Iceland kwa sasa
itakutana na mwenyeji wa michuano hiyo Ufaransa mjini Paris Jumapili
Julai 3.Katika mchezo mwingine bingwa mtetezi Hispania ameondolewa kwa
kichapo cha 2-0 ilipokipiga dhidi ya Italia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment