Katibu
Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiongea jambo
kujadili matokeo ya uchaguzi mkuu wa tarehe 25 Oktoba, 2015 kwenye
mkutano ulioandaliwa na Centre for Strategic and International Studies
(CSIS) siku ya Jumatatu June 13, 2016 ndani ya jengo la (CSIS) liliopo
Rhode Island Ave, NW jijini Washington DC. (Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)

Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad,
akielezea hali halisi ya siasa za Zanzibar, katikati akiwa na Mkurugenzi
wa CSIS Bi Jennifer G. Cooke, pamoja na aliekua balozi wa Marekani
nchini Tanzania Mark Green, ambae sasa hivi ni President, International
Republican Institute
Bi Mercedeh Momeni ambae ni Deputy Regional Director, Southern and East
Africa, National Democratic Institute, akiongea jambo kuhusu mpango
mzima wa mkutano huo

Baada ya kumaliza mkutano wa (CSIS) jijini Washington DC

Post a Comment