Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva na Mkurugenzi wa uchaguzi Bw.Kailima Ramadhani Kobwey wakikabidhi mfano wa hundi ya shilingi Bilioni 12 kwa Rais John Magufuli.
fedha hizo zimeokolewa katika fedha zilizopangwa kutumika na Tume ya Uchaguzi katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2015.
Post a Comment