0
Usiku wa June 19 kuamkia June 20, ilikuwa ni siku ambayo michuano ya Euro 2016 ilichezwa michezo miwili ya kuhitimisha michezo ya Kundi A, Ufaransa alicheza dhidi ya Switzeland na mchezo kumalizika kwa sare ya 0-0.
RAMAA
Romania walicheza mchezo wao wa kumamilisha ratiba dhidi ya vibonde wenzao Albania, ambapo katika mchezo huo Albania alifanikiwa kuibuka na ushindi wa kwanza na pekee katika mechi zake tatu za Euro 2016 na kuondoka na point tatu, baada ya kuifunga Romania goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Armando Sadiku dakika ya 43.

Post a Comment

 
Top