Ligi ya Liwale Super Cup inaendelea kupamba moto katika uwanja wa wilaya ya Liwale hapo jana june 26 kulikuwa na mchezo kati ya Mpengele fc dhidi ya Likongowele city.
Katika mchezo huu timu ya Mpengele fc iliweza kuibuluza Likongowele city kwa kuimiminia bao 3 kwa 1 mchezo uliotia fura huku washabiki wa likongowele wakibaki wamedua na kutoamini kwa kile kilichotokea ila matokea yalikuwa Mpengele fc 3-1 Likongowele.
Post a Comment