Timu ya Arsenal sasa kusukwa upya kwa msimu huu na kurejesha imani na matumaini kwa mashabiki wa arsenal kutokana na mmiliki wa klabu hiyo kusema sasa ni wakati wa kununua
wachezaji wenye kiwango cha dunia na sio kuuza wachezaji wenye vipaji
Bosi huyo
wa gunnerz amesema hayo kutokana na malalamiko ya mashabiki kuwa timu
yao haipo kiushindani na iyo inatokana na kuuza wachezaji wenye vipaji
na kunnua wachezaji wa kawaida
Amesema
kuwa ni wakati wa kuinngia kwenye ushindani na tutanunua wachezaji wa
kiwango cha dunia wenye ushindani na hatutouza wachezaji wenye vipaji.
Post a Comment