0

Dar es Salaam. Chama cha Wananchi (CUF), kimesema kama aliyekuwa mwenyekiti wake wa Taifa, Profesa Ibrahimu Lipumba anataka kugombea nafasi hiyo katika uchaguzi utakaofanyika Agosti 21, mwaka huu ruksa.

  Agosti 5, mwaka jana Profesa Lipumba alijiuzulu wadhifa huo akisema ataendelea kuwa mwanachama wa kawaida wa chama hicho.

Hayo yalisemwa jana na Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Shaweji Mketo alisema alipozungumza na waandishi wa habari.

Post a Comment

 
Top