Staa wa zamani wa vilabu vya FC Barcelona na Chelsea Samuel Eto’o leo June 14 2016 amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Georgette Tra Lou, Eto’o amefunga ndoa na kuhudhuriwa na staa mwenzake wa zamani wa FC Barcelona Carlos Puyol na mkewe, Eto’o na mkewe wamefunga ndoa leo Stezzano Italia.
Puyol na mkewe
Post a Comment