0


4. Jengo hili limejengwa chini ya ardhi ndani ya korongo nchini Switzerland.
 
5. Nyumba hii iliyojengwa juu ya jiwe katikati ya mto na kund la marafiki na baada ya kupata hida ya mafuriko kila mara ikachukuliwa na Rock Restaurant na kuijenga tena nchini Serbia.


Muonekano wa nyumba hiyo mara ya kwanza kabla ya kupatwa na dhoruba.


Mtazamo wa nyumba hii mara ya pili baada ya kujengwa tena.

6. Nyumba ya jiwe iliyojengwa nchini Portugal mwaka 1973.



7. Nyumba hii iliyojengwa kwa mfano wa sheli ya samaki nchini 1960 nchini Mexico.





8. Jengo hili limejengwa nchini Singapore.



9. Jengo hili limejengwa na linatumika kama makazi ya watu nchini Netherlands.



10. Jengo la Kingdom Tower jengo lililopo katika mji wa Jeddah, Saudi Arabia, ni miongoni mwa majengo marefu duniani, lilijengwa kwa gharama ya dola bilioni.



11. Jengo la Cathedral of our Lady of Aparecida ni jengo la kanisa ambalo lipo Brazil, lilijengwa mwaka 1946 hadi 1980, hupokea watalii milioni 10 kila mwaka, huchukua watu zaidi ya 70,000 lina ukubwa wa mita 12,000.



12.Jengo la nyumba hii yenye shepu ya ndege aina ya Airbus A380, imejengwa uko nchini Miziara, Lebanon.



13. Jengo hili iliojengwa kwa mfano wa gari nchini Austria.





14. Jengo hili limejengwa kwa tani 110 za chuma nchini Texas kwanzia mwaka 1973 mpaka 1996.





15. Jengo la Crystal Cathedral limejegwa Kjiji cha Garden Grove, California.


Nakusogezea picha 22 za majengo yenye muonekano tofauti na majengo mengine uliyowahi kuyaona, Majengo haya yanapatikana nchi mbalimbali ikiwemo Ufaransa, Marekani, Korea n.k imejengwa kwa staili ya kipekee kabisa .


1.Jengo hili limejengwa nchini Poland mwaka 2014 na lenye kuonekana kama jengo linalodondoka.





2. Jengo hili la nyumba lenye muonekano wa chini juu juu chini limejengwa kwa siku 114 nchini Poland kwenye kijiji kidogo cha Szymbark mwaka 2013.





3. Jengo hili la mfano wa kinanda limejengwa mjini Huainan, nchini China mwaka 2007.





Post a Comment

 
Top