Waziri na Kilimo na Uvuvi, Mwigulu
Nchemba (kushoto) akimkabidhi Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom
Tanzania Bara, Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' jana jioni
Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam baada ya mchezo dhidi ya Ndanda FC
uliomalizika kwa sare ya 2-2
Wachezaji wa Yanga wakifurahia na Kombe lao Uwanja wa Taifa
Wachezaji wa Yanga wakifurahia na Kombe lao Uwanja wa Taifa
Post a Comment