Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Ulinzi wa Zambia,
Christopher Mulenga baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Keneth
Kaunda uliopo Lusaka Mei 23, may 2016 ambako leo atamwakilisha Rais John
Magufuli kwenye mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ADB. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya Watanzania baada ya
kuwasili kwenye hoteli ya Intercontinental iliyopo Lusaka baada ya
kuwasili Mei 23, 2016 amabako leo atamwakilisha Rais John Magufuli
kwenye mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ADB.
Post a Comment