0


Ligi ya Mbuzi Vijana Cup-Liwale katika hatua ya Robo fainali ilipigwa tena leo mei 31 kati ya Mnalani fc Vs Wakaanga sumu mchezo uliochezwa uwanja wa shule ya msingi muungano iliyopo wilayani Liwale (Liwale Mjini).

Kipindi cha kwanza timu ya  Mnalani fc ilikuwa ikiongoza goli 3 magoli yalifungwa na
Amanzi amanzi alifunga dakika ya 10
Omari issa alifunga goli 2  namo dakika ya 27 na 38
Wakaanga sumu walijipatia magoli pia kipindi cha kwanza kupitia mchezaji wao ima dakika ya 37 na jonson dakika 40

Kipindi cha pili wakaanga sumu waliongeza goli 3
Musa alizaonge goli namo dakika  57,ima dakika 74 na goli la mwisho beki wa Mnalani fc mustafa alijifunga Mwenyewe katika harakati ya kutaka kuokoa  dakika za lala salama katika dakika ya 90.

Matokeo ya mchezo huu yalikuwa
Mnalani fc 3-5 Wakaanga sumu

Post a Comment

 
Top