Tanzania bado ipo kwenye headlines kutokana na kuwa na vivutio vyake vya Utalii, Zanzibar ni moja kati ya sehemu za Tanzania zinazojulikana sana duniani kutokana na historia yake, ila hili la msanii kutoka Marekani Belly kuimba wimbo ft Juicy J na kuupa jina la Zanzibar linaweza likawa kivutio kwako usikilize hapa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment