Vilabu vya Real Madrid na Atletico Madrid vinakabiliana Jumamosi katika fainali ya kombe la vilabu bingwa Ulaya.
Tiago wa Atletico Madrid akisherehekea bao lake
Huku timu zote mbili zikishindwa kuizuia Barcelona
kushinda kombe la liga,bila tatizo ni timu mbili bora Ulaya na mechi
hiyo inatarajiwa kuwa ya kukata na shoka. Rodriguez wa Real Madrid
Hatahivyo,lakini ni wachezaji gani waliomo katika vikosi vya timu zote mbili. mashabiki
Huku Christiano,Gareth Bale ,Koke na Antoine Griezman wakishiriki huenda mechi hiyo ikatoa msisimuko wa kiwango cha juu.
Post a Comment