Rais wa
kwanza wa kike wa Taiwan, ameapishwa Ijumaa katika sherehe
zitakazofanyika katika mji mkuu wa Taipei. Tsai In-wen, ambaye chama
chake kinataka uhuru kutoka Uchina, alishinda na idadi kubwa ya kura
katika uchaguzi uliofanyika Februari mwaka huu. Ushindi wake umepunguza
uhusiano wa taifa hilo na utawala wa Beijing.
China
inadai kuwa Taiwan ni Mamlaka yake na kutokana na hatua ya sasa ya
Taiwan na hata wakati wa Uchaguzi,China imeonekana kutokubalianana
Taiwan.
Tsai anakabiliwa na changamoto za kiuchumi na kushuka kwa mapato yatokanayo na usafirishaji wa bidhaa nje.
|
Post a Comment