Mchezaji kinda wa
kibrazil anyechezea timu ya miaka chini ya 23 Andreas Pereira amesema
kuwa yupo tayari kucheza manchester united msimu ujao
MChezaji huyo ambae
amecheza mechi 11 chini ya Lous Van Gaal amesema amekubali kuwa
anahitaji muda zaidi ili aweze kufanya vizur
Pereira alipata nafasi ya kucheza dakika 43 kabla dilisha kufungwa ya mechi ya mwisho

Post a Comment