Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na waandishi wa
habari wakati alipotembelea kituo cha Mabasi yaendayo haraka cha Kamata
Kariakoo leo, amesema kuwa kuanzia jumatatu Mei 16, 2016 ndio nauli za
mabasi ya mwendo wa haraka zitaanza kutozwa. Pia awaasa watumiaji wa
barabara hasa watembea kwa miguu, baiskeli na maguta wasitumie barabara
hizo ili kuepusha usumbufu kwa madereva wa mabasi ya mwendo wa haraka.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Post a Comment