Moto wawazidi maarifa wazima moto Canada
Maafisa wa Serikali
ya Canada wamesema kuwa moto mkubwa, hatari na usioeleweka unatazamiwa
kuvuka mpaka wa Mkoa masaa machache yajayo.
Wazima moto wanatarajia kuwa moto huo kuvuka maeneo yanayochimbuwa mafuta Kaskazini mwa Fort McMurray.Maafisa hao wana hofu kuwa upepo huenda ukachochea moto huo na wakasema kuwa mvua kubwa isipotokea moto huo utateketea kwa miezi kadhaa.
Post a Comment