Wanajeshi wa serikali nchini Iraq
wanaendelea na mikakati wa kuuteka mji wa Fallujah huku wapiganaji wa
Islamic State wakiendesha mashambulizi makubwa katika mji ulio Kaskazini
mwa mto Eupharates.
Taarifa zinasema kuwa idadi kubwa ya
washambualiaji wa kujitoa mhanga wa Islamic State waliingai mji wa Hit
baada ya kuafanya mashambulizi ya roketi.
Vikosi vya serikali na wapiganaji wa makabila wanajibu mashambulizi hayo. Waliuteka mji wa Hit kutoka kwa Islamic State mwezi uliopita.
Post a Comment