Ligi ya Mbuzi Vijana cup inayofanyika wilayani Liwale mkoani Lindi
.
Leo katika Kundi A kulikuwa na mchezo kati ya KUBOTA Vs BLACK STAR mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa shule ya msingi Muungano.

Mchezo ulianza wa kasi na Black star ilikuwa ya kwanza funga goli katika dakika 11 kupitia mchezaji Hamisi Lipikwe na dakika ya 20 wakiongeza goli la pili lililifungwa na Ally Omari nao Kubota fc walisawazisha magoli hayo katika dakika ya 15 na Peter John na 43 Halfani Meza aliiandikia goli la pili na hadi mapumzo wakiwa sare ya goli 2 kwa 2.
Kipindi cha
pili timu ya Kubota fc iliongeza goli 3, magoli yaliofungwa katika dakika ya
58 na Kiliani kipindukilo,dakika 59 na peter John na goli la 5 ilifungwa katika dakika
ya 84 na Halfani Meza
Dakika 90 zinamalizika matokeo yalikuwa KUBOTA fc 5-2 BLACK STAR fc
Kwa upande wa kocha wa Kubota fc,Ramadhani Ngazulu alisema siri ya kushinda wa leo baada ya wachezaji wake kuweza kushiriki mazoezi ya pamoja na kufuata maelekezo yake na kocha wa Black Star fc alielezea juu ya mchezo wa leo alisema mchezo wa leo ulikuwa mzuri na amekili kuwa wachezaji wake wamecheza chini ya kiwango pia amewahakikishia mashabiki wake mchezo ujao wanamatumaini ya ushindi kwani kufungwa kwa leo amejifunza makosa yaliyojitokeza uwanjani.
Kesho May 7 kutakuwa na mchezo kati ya Likongowele Vs Mnalani mchezo utakaochezwa katika uwanja wa shule ya msingi Muungano majira ya saa 10 jioni.

Post a Comment