Bunge la 11 limeendelea tena mei 9 2016 Dodoma Katika kipindi cha maswali na majibu Mbunge wa Mtwara Maftaha Nachuma …
>>‘Kuna
hotuba ambayo imetolewa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mkakati wa
kuhakikisha Tanzania inakuwa ni nchi ya viwanda ni jambo zuri sana. Nchi
za Ulaya zileweza kuendelea kwa kupitia sekta ya viwanda.’
‘Mwalimu
Nyerere alianzisha viwanda vingi sana, bahati mbaya Serikali haikuweza
kuingia katika mfumo wa uwekezaji ambao haukufuata sharia na utaratibu
na kupelekea kuuawa kwa viwanda hivi’
‘Nimekuwa
nikilia sana katika bunge hili, Kiwanda cha Dangote kinanyanyasa
wafanyakazi waliopo mule ndani, Wananchi ili wapate kazi ni lazima watoe
rushwa ya kuanzia laki tatu na hamsini’
Unaweza kuipata full stori kwenye hii video hapa chini….
ULIIKOSA HII KATIKA MASWALI NA MAJIBU BUNGENI LEO, WAZIRI MWIJAGE KAYAJIBU HAYA?
Post a Comment