
“Nataka kuwaambia kuwa nawapenda sana ila nataka muachane na skendo ambazo zipo kwenye vyombo vya habari, Mr Blue sasa nakuja na mambo mazuri yanakuja”
Wiki kadhaa Mr Blue alisema kuwa wimbo wake mpya anaotegemea kuachia amefanya na Alikiba na leo amethibitisha kwa wimbo huo kukamilika na kusema muda wowote kuanzia sasa anauachia na huo ndiyo utakuwa ujio wake mpya.
Post a Comment