0
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Dhahiri Kidavashari,
Kamanda kidavashari ametoa Kauli hyo wakati wa Mkutano wake wa kwanza wa dini na mila mkoani humo na kuwataka pia wanaomiliki silaha kuhalali wazihakiki mara moja ili kuondoa usumbufu usiokuwa wa lazima.
Kamanda huyo wa Mkoa mpya wa Songwe amesema kwa yoyote atakaesalimisha silaha kwa hiyari yake jeshi halitamfatilia huku akiongeza kwa kusema kuwa hiyo itapunguza kwa kiasi kikubwa uhalifu wa kutumia silaha mkoani humo.
Kwa upande wao viongozi hao wa dini na kimila wamesema changamto kubwa iliyopo katika eneo hilo ni wananchi wengi kuishi na wahalifu na kuwaficha na kukataa kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi.
                      CHANZO:EATV

Post a Comment

 
Top