0


Mamia ya wageni wakimbilia vituo vya polisi nchini Zambia kutafuta hifadhi ya kunusuru maisha yao.

Jana maelfu ya wazawa na raia wa nchi hiyo walivamia maduka ya Wageni katika miji ya Lusaka, Zingalume, George, Garden na Mandevu.

Huku wakiwalenga zaidi raia wa Rwanda, mtu mmoja ameripotia ameunguzwa na kubakia majivu kabisa.

Post a Comment

 
Top