Harry Kane
Klabu ya soka ya
Tottenham wakicheza ugenini katika dimba la Brittania wameibuka na
ushindi wa kishindo wa mabao 4-0 dhidi ya Stoke City.
Katika dakika ya 71 Harry kane tena akawatungua Stoke City kabla ya Dele Ali kuhitimisha ushindi huo kwa bao la nne katika dakika ya 82.
Kwa ushindi huo Spurs wanafikisha alama 68 wakiwa wamecheza michezo 34, hivyo kupunguza pengo dhidi ya Vinara Leicester City kufikia alama 5,huku wakiwa wanalingana michezo waliyocheza.
Mshambulia harry Kane amefikisha idadi ya mabao 24 akifuatiwa na Jamie Vardy mwenye 22 huku Sergio Aguero akiwa na mabao 21.
Post a Comment