Mechi za marudiano UEFA kupigwa jumanne na Jumatano
Mechi za Marudiano
za Robo Fainali ya michuano ya Uefa zinaendelea tena Jumanne na jumatano
kwa michezo minne, ambapo jumanne kutachezwa mechi mbili .
Manchester
City watakuwa wenyeji wa Paris St-Germain katika dimba lao la Etihad na
huko Santiago Bernabeu Real Madrid wako kwenye kibarua kigumu cha
kugeuza kichapo cha 2-0 toka VfL Wolf-sburg walichokipata wiki iliyopitaSiku ya Jumatano Benfica watawakaribisha Bayern Munich ,na Atletico Madrid watakuwa wenyeji wa Barcelona.
Post a Comment