Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akikagua vikundi mbalimbali vya ngoma alipowasili Uwanja wa ndege wa
Kilimanjaro kwa ajili ya kufungua Mkutano wa nane wa kikao cha kawaida
kuhusu matumizi ya silaha ndogondogo katika nchi za maziwa makuu na
pembe ya Afrika unaotarajiwa kuanza kesho April 22, 2016 Mkoani Arusha
Picha na OMR.

Post a Comment