1
 Salma
Salma alikamatwa na watu wasiojulikana Ijumaa
Mwandishi aliyewakilisha kituo cha redio cha Sauti ya Ujerumani (Deutsche Welle) visiwani Zanzibar Salma Said na ambaye alitoweka Ijumaa, amepatikana.
Kamanda wa polisi wa Dar Simon Siro amethibitisha kupatikana kwa mwanahabari huyo.
Baadhi ya waandishi wa habari walizungumza na Mume wa Salma Said, Bw Ali Salim Khamis, ambaye amesema kwa sasa Salma yumo anatoa maelezo kwa polisi Dar es Salaam.

Post a Comment

  1. Alhamdulilah kwa kupatikana kwake...waliofanya jambo hili lazima wafikishwe katika vyombo vya sheria

    ReplyDelete

 
Top