Burundi: Mkuu wa jeshi auawa kambini
Afisa mmoja muandamizi wa jeshi la Burundi ameuwawa leo ndani ya makao makuu ya jeshi la Burundi.
Kanali Darius Ikurakure alikuwa Kamanda wa kambi ya kijeshi ya Muzinga, nje kidogo ya jiji la Bujumbura.Kambi ya Muzinda iko kilomita 30 kutoka mji mkuu wa Bujumbura.
Duru kutoka kwa jeshi la burundi zinasema kuwa kanali huyo alipigwa risasi na mwanajeshi mwenza.
Post a Comment