Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mh. Jordan Rugimbana akisoma hotuba ya ufunguzi wa
Kikao cha Kwanza cha Bodi ya Barabara kilichofanyika leo tarehe 9 Machi
2016 kwenye ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa, wengine waliokaa kushoto
ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa
Jimbo la Mtama Mhe. Nape Nnauye na Makamu Mwenyekiti wa Mfuko wa
Barabara, Mbunge wa Jimbo la Mchinga Mhe. Hamidu Bobali.
Wajumbe wa kikao cha kwanza cha Bodi ya barabara mkoani Lindi
wakisikiliza kwa makini hotuba ya Mwenyekiti wa Kikao Mhe. Jordan
Rugimbana.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa
Jimbo la Mtama Mhe. Nape Nnauye akizungumza kwenye kikao cha kwanza cha
Bodi ya Barabara mkoani Lindi.
Makamu Mwenyekiti wa Mfuko wa Barabara, Mbunge wa Jimbo la Mchinga Mhe. Hamidu Bobali akijitambulisha kwa wajumbe wa kikao.
Wajumbe wa kikao cha kwanza cha Bodi ya barabara mkoani Lindi.
Post a Comment