Kaimu
Katibu wa CCM Mkoa wa Singida Mary Maziku (kushoto)akisoma taarifa ya
maandalizi ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM kwa Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana .
Wajumbe wa
Kamati ya Siasa CCM mkoa wakisikiliza wakati Kaimu Katibu wa Mkoa Ndugu
Mary Maziku akiwakilisha taarifa za maandalizi ya maadhimisho ya miaka
39 ya kuzaliwa kwa CCM kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
kwenye ofisi za CCM mkoa wa Singida.
Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza
na kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Singida mara baada ya kupokea taarifa
za maandalizi ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM.
Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupaka rangi jengo la CCM
mkoa wa Singida ikiwa sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya miaka 39 ya
kuzaliwa kwa CCM.
PICHA NA MICHUZI JR-MMG-SINGIDA




Post a Comment